Toa kwa Upendo
Changia Kwa Kanisa
Msaada wako mdogo au mkubwa unasaidia kujenga kanisa la Mungu. Kila shilingi inafanya tofauti.
Ili kuchangia rasmi, tafadhali
ingia
au
fungua akaunti bure
ya mwumini.
Miradi Inayoendelea
Changia Mradi
MRADI WA UJENZI WA KANISA KUU (PROPOSED CATHEDRAL)
Luka 6:38: "Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo cha kujaa, na kushindiliwa, na kusukwa-sukwa, hata kumwagika, ndich…
0 TZS
0%
Lengo: 100000000 TZS
Ingia Kuchangia
UKARABATI WA JENGO LA KUABUDIA
2 Wakorintho 9:7: "Kila mmoja na atoe kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni wala kwa kulazimishwa; maana Mungu…
0 TZS
0%
Lengo: 7500000 TZS
Ingia Kuchangia
Mwongozo
Jinsi ya Kuchangia
1
Fungua Akaunti
Jiandikishe bure kwenye mfumo wetu kwa dakika chache.
2
Chagua Mradi
Chagua mradi unaotaka kuusaidia kutoka kwenye orodha.
3
Tuma Pesa
Tuma kwa M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, au benki.
4
Thibitisha
Ingiza nambari ya muamala ili uthibitishwe na mhasibu.
Njia za Malipo Zinazokubalika
M-Pesa
Airtel Money
Tigo Pesa
Benki